April 2013 - no.
29
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni tumaini letu kuwa hamjambo.
Katika jarida hili tunataka kuchangia
mawazo kuhusu tatizo la kukosa elimu hapa
Tanzania.
Hivi karibuni rafiki yetu Mzee
Edward alitueleza kuwa "watu lazima
wapate elimu...
More
April 2013 - no.
29
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni tumaini letu kuwa hamjambo.
Katika jarida hili tunataka kuchangia
mawazo kuhusu tatizo la kukosa elimu hapa
Tanzania.
Hivi karibuni rafiki yetu Mzee
Edward alitueleza kuwa "watu lazima
wapate elimu endapo tutakuwa na lengo la
kuutokomeza umaskini hapa Tanzania.
"
Tukiwa na wazo hili, itakuwa vizuri
kuwasikiliza rafiki zetu wa ATD
wakizungumzia uhusiano kati ya kuushinda
umaskini na elimu.
We hope to find you all well.
In this newsletter we want to share some
ideas and thoughts about the national problem
of illiteracy in Tanzania.
Recently our good
friend Mzee Edwards told us, “People must
have the opportunity to learn if you want to
succeed in the eradication of poverty in
Tanzania.
” With this in mind, let us first hear
from some friends of ATD speaking about the
link between overcoming poverty and
education.
"Bila ya kuwa na elimu huwezi
kuushinda umaskini.
"
"Huwezi kupambana na umaskini iwapo
utawaacha bila ya elimu watoto
Less