Apr 2012 - no.
24
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni matumaini yetu kuwa ninyi na familia zenu
mu wazima na wenye afya njema.
Kwenye jarida la mwezi huu tutapata habari
kwanza kutoka kwa mama na baadaye mume,
ambao wote walipata changamoto mbalimbali...
More
Apr 2012 - no.
24
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni matumaini yetu kuwa ninyi na familia zenu
mu wazima na wenye afya njema.
Kwenye jarida la mwezi huu tutapata habari
kwanza kutoka kwa mama na baadaye mume,
ambao wote walipata changamoto mbalimbali
walipowapeleka mtoto na mke hospitali.
Kwa
wote ulikuwa ni wakati mgumu, na kwa mama
yule na mwanae walipata ugumu zaidi pale
hospitali ilipoleta vizuizi visivyo na ulazima
kwenye tatizo lao.
Hata hivyo kwa mume na
mkewe, walikutana na daktari ambaye alikuwa
tayari kutimiza wajibu wake na hata kufanya
zaidi.
We hope you and your family are in good
health.
In this month’s newsletter we hear first from
a mother and then a husband who both
faced very different experiences when
taking their child and wife to hospital.
For
both it was a difficult time, and for the
mother and son it became more
complicated when the hospital put
unnecessary barriers in their way.
However,
for the husband and his wife, they met a
doctor who was willing to ful
Less