Julai 2012 - 30
Mpendwa Rafiki, Dear Friend,
Ni tumaini letu nyote hamjambo na kwa rafiki
zetu Waislam tunawatakia Ramadhani
mubaarak.
Katika jarida letu tutaendelea kuzungumzia
kuhusu elimu na umaskini uliokithiri, pia
tutazungumzia majumuisho...
More
Julai 2012 - 30
Mpendwa Rafiki, Dear Friend,
Ni tumaini letu nyote hamjambo na kwa rafiki
zetu Waislam tunawatakia Ramadhani
mubaarak.
Katika jarida letu tutaendelea kuzungumzia
kuhusu elimu na umaskini uliokithiri, pia
tutazungumzia majumuisho muhimu
yaliyozungumziwa kwenye semina ya ATD
Dunia ya Nne iliyofanyika huko Burkina Faso
mwezi wa pili 2013 na vile vile mawazo ya
rafiki zetu wa ATD Tanzania kuhusu mada
zilizotolewa wakati wa semina hiyo.
We hope to find you all well and, for our
Muslim friends, we wish you a Ramadhani
mubaarak.
In this newsletter, we will continue to speak
about the issues of education and extreme
poverty.
We will present the main
conclusions of an ATD Fourth World
international seminar held in Burkina Faso in
February 2013 and the thoughts of our ATD
Tanzanian friends about the issues raised in
this seminar.
Watu maskini sana nao ni
washirika katika masuala ya
elimu.
Mwaka 2000 jumuiya ya kimataifa ilikubaliana
kuhusu
Less