Sept 2012 - no.
26
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Hujambo? Ni matumaini yetu kila kitu kwako
ni salama, ndugu na rafiki zako wote
hawajambo.
Kama ujuavyo, Oktoba 17, Siku
ya Kuushinda Umaskini Uliokithiri Duniani
imekaribia kwa hiyo katika jarida hili...
More
Sept 2012 - no.
26
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Hujambo? Ni matumaini yetu kila kitu kwako
ni salama, ndugu na rafiki zako wote
hawajambo.
Kama ujuavyo, Oktoba 17, Siku
ya Kuushinda Umaskini Uliokithiri Duniani
imekaribia kwa hiyo katika jarida hili
tutaizungumzia siku hiyo pamoja na
maandalizi yake.
Kama kawaida yetu tutaanza na ushuhuda:
na leo Blaise rafiki kutoka Cameroon
anatueleza ilivyo muhimu kwake kukutana
na kupeana mawazo na watu wengine na
kuwatambua kama binadamu.
How are you ? We hope everything is fine with
you, your relatives and your friends and that
you are all in good health.
As you know,
October 17th, the World Day to Overcome
Extreme Poverty is approaching soon.
Therefore, we will speak especially about this
day and its preparation in this newsletter.
However, as usually, we will start with a
testimony : Blaise, a friend from Cameroon,
tells us what it means for him to meet and
share ideas with other people and consider
them as human beings.
Ni sisi wenyewe
Less