Oktoba 2013
Mpendwa Rafiki, Dear Friend,
Tunatumai mzima.
Tunakutumia jarida hili
katika utamnbuzi wa juhudi za watu
wanaoishi katika umaskini uliokithiri katika
siku ya kuutokomeza umaskini uliokithiri
duniani.
Kila mwaka tarehe 17 Oktoba, watu duniani...
More
Oktoba 2013
Mpendwa Rafiki, Dear Friend,
Tunatumai mzima.
Tunakutumia jarida hili
katika utamnbuzi wa juhudi za watu
wanaoishi katika umaskini uliokithiri katika
siku ya kuutokomeza umaskini uliokithiri
duniani.
Kila mwaka tarehe 17 Oktoba, watu duniani
kote huadhimisha siku ya kutokomeza
umaskini uliokithiri.
Katika siku hii
mchanganyiko wa watu hujumuika pamoja
kutambua mapambano ya mamilioni ya
watu wanaoishi katika umaskini kuzuia
dhuluma na kupata haki zao.
Pia ni muda
wa kufikiri kwa pamoja sababu na matokeo
ya umaskini uliokothiri, pia ni njia tofauti ya
wote kuijenga jamii.
We hope you are all well.
We are sending this
newsletter in recognition of the efforts of
people living in extreme poverty on the
occasion of the World Day to Overcome
Extreme Poverty.
Every year, on the 17 October, people all
around the world celebrate the World Day to
Overcome Extreme Poverty.
On this day
people from diverse backgrounds join together
to recognise the struggle of millions of people
Less