Feb 2012 - no.
23
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni matumaini yetu kwamba mu wazima na
jarida limewakuta ninyi na familia zenu mkiwa
na afya njema.
Wiki chache zilizopita, ilikuwa mwanzo wa
mwaka mpya wa shule, muda wa kufurahia
kwa watoto wengi, furaha za...
More
Feb 2012 - no.
23
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni matumaini yetu kwamba mu wazima na
jarida limewakuta ninyi na familia zenu mkiwa
na afya njema.
Wiki chache zilizopita, ilikuwa mwanzo wa
mwaka mpya wa shule, muda wa kufurahia
kwa watoto wengi, furaha za kuwa wanafunzi
au kukutana na wanafunzi wenzao tena.
Hata
hivyo, kwa baadhi ya watoto, mwanzo wa
mwaka wa shule ni wakati mgumu : kushindwa
kuandikishwa kwa darasa la kwanza, umbali
wa shule za secondary, kupata matatizo
kwenye malipo yanayoagizwa shuleni.
.
.
Katika jarida hili, kupitia shuhuda mbili,
tutaenda kuonyesha jinsi familia zenye
umaskini uliokithiri zinavyopigania ili watoto
wao wapate elimu na jinsi kulivyo na
uwezekano wa kuwasaidia.
We hope you are very well and this
newsletter finds you and your family in good
health.
Some weeks ago, it was the start of a new
school year, an enjoyable time for most
children, happy to become pupils or to meet
again their schoolmates.
However, for some
children, the start of a new
Less