Juni 2012 - no.
25
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Tunatumaini wewe na familia yako mu wazima
wa afya.
Timu ya ATD ya Dar es Salaam ilikuwa
na shughuli nyingi miezi hii michache iliyopita
ikiandaa warsha ya mwezi wa nne inayoitwa,
Tushirikiane Pamoja kama...
More
Juni 2012 - no.
25
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Tunatumaini wewe na familia yako mu wazima
wa afya.
Timu ya ATD ya Dar es Salaam ilikuwa
na shughuli nyingi miezi hii michache iliyopita
ikiandaa warsha ya mwezi wa nne inayoitwa,
Tushirikiane Pamoja kama Washirika Walio
Sawa , ambayo tutawapa habari kidogo kuhusu
warsha hiyo.
Sehemu ya pili ya jarida itazingatia
tukio la dunia nzima la ATD linaloitwa Mchakato
wa Mkutano Mkuu , ambapo wanachama wote
wa ATD wanashauriwa kushiriki.
We hope you are your family are all well.
The ATD team in Dar es Salaam has had
a busy few months preparing a workshop
in April called ‘Working Together as Equal
Partners’, which we will give you a little
news about.
The second part of this
newsletter focuses on an ATD world-wide
event called the General Assembly
Process, which all ATD members are
encouraged to take part in.
Watu tofauti, (ma)hitimisho sawa
Warsha ya ATD Dunia ya Nne, Tushirikiane
Pamoja kama Washirika Walio Sawa
iliyofanyika tarehe 20
Less