Feb 2013 - no.
28
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni tegemeo letu kuwa hamjambo na wenye
afya njema.
Tunategemea kuwa mmeuanza
Mwaka Mpya kwa juhudi na ari ya
kuyashinda majaribu maishani mwenu.
Katika Jarida letu lililopita, tulielezea kwa
ufupi tathmini...
More
Feb 2013 - no.
28
Mpendwa Rafiki, Dear friend,
Ni tegemeo letu kuwa hamjambo na wenye
afya njema.
Tunategemea kuwa mmeuanza
Mwaka Mpya kwa juhudi na ari ya
kuyashinda majaribu maishani mwenu.
Katika Jarida letu lililopita, tulielezea kwa
ufupi tathmini inayofanywa na ATD kila
baada ya miaka minne.
Katika Jarida hili
tutaendelea kutoa taarifa zaidi kuhusu yale
yaliyosemwa kuhusu ATD Dunia ya Nne,
familia na jamii zao.
Sauti za watu maskini kabisa zinabeba hali
halisi waliyonayo ya kuishi katika umaskini
uliokithiri, kuwasikiliza peke yake
hakuwaonyeshi kwa kina heshima kwa yale
wanayo kabiliana nayo.
Kwa kutofanyia kazi
mawazo na ufahamu wao utaipeleka jamii
kwenye mpasuko wa dunia yenye watu
wanaozidi kubaguliwa na kutengwa.
We hope to find you well and in good health.
We hope you started the New Year with
enthusiasm and courage to overcome the
challenges in your lives.
We spoke briefly in our last newsletter about
the evaluation process ATD carries out every
four years.
In t
Less